Friday, September 6, 2013

ELIZABETH CHIJUBA , KELVIN WAJA NA FILAMU YA DANGEROUS FATHER.

  Elizabeth Chijuba
Muigizaji Elizabeth Chijuba ambaye alitamba na filamu kadhaa huko nyuma akiwa na marehemu Steven Kanumba amekuja tena na filamu mpya ya Dangerous Father akiwa na Kelvin. Muigizaji huyo ambaye pia anajulikana kwa jina la Nikita ametamba pia na filamu za C.I.D, The Stolen Will na  nyinginezo.

No comments:

Post a Comment