Rammy Galis, Vicent Kigosi(Ray) na Najma ambaye ni mwanamuziki wa
Bongofleva na aliyewahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mr.Blue wanakuja na
filamu ya Fans Death. Filamu hiyo inayotarajiwa kuingia sokoni muda si
mrefu, maudhui yake yanakuuliza ni nani mkali kati ya superstar na na
mtoto wa mjini! Ray na Rammy Galis wakijaribu kumdaka Najma ikiwa
msichana huyo ni ndugu wa damu na mmoja kati yao. Je ni nani huyo
No comments:
Post a Comment